Nenda kwa yaliyomo

Roderick MacKinnon

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Pitio kulingana na tarehe 14:42, 11 Machi 2013 na Legobot (majadiliano | michango) (Bot: Migrating 33 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q211482 (translate me))
Faili:Roderick MacKinnon 2007.jpg
Roderick MacKinnon

Roderick MacKinnon (amezaliwa 19 Februari 1956) ni mwanakemia kutoka nchi ya Marekani. Hasa alichunguza usafirishaji wa molekuli katika chembe hai. Mwaka wa 2003, pamoja na Peter Agre alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia.

Makala hii kuhusu mshindi wa Tuzo ya Nobel bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Roderick MacKinnon kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.