Nenda kwa yaliyomo

Arduino Bertoldo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Pitio kulingana na tarehe 00:26, 18 Februari 2025 na Innocent Cosmas Msoka (majadiliano | michango) (Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Arduino Bertoldo''' (30 Desemba 19323 Aprili 2012) alikuwa askofu wa Kanisa Katoliki katika Jimbo la Kikatoliki la Foligno, Italia. Alipadrishwa mwaka 1958, akateuliwa kuwa askofu mwaka 1992, na alistaafu mwaka 2008.<ref>[http://www.catholic-hierarchy.org/bishop/bbertoldo.html Arduino Bertoldo]</ref> == Marejeo == <references />{{Mbegu-Mkristo}} Jamii:Waliozaliwa 1932 Jamii:Waliofariki 2012 Jamii...')
(tofauti) ← Pitio lililotangulia | Toleo la sasa (tofauti) | Pitio linalofuata → (tofauti)

Arduino Bertoldo (30 Desemba 19323 Aprili 2012) alikuwa askofu wa Kanisa Katoliki katika Jimbo la Kikatoliki la Foligno, Italia.

Alipadrishwa mwaka 1958, akateuliwa kuwa askofu mwaka 1992, na alistaafu mwaka 2008.[1]

Marejeo

  1. Arduino Bertoldo
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.