Algorithm
Mandhari

Algorithm au (algorithimu au algoriti kwa Kiswahili kutoka Kiingereza: Algorithm) ni utaratibu wa hatua-kwa-hatua wa kutatua tatizo haswa tatizo la kihesabu [1], yaani ni kanuni au maelekezo ya hesabu ambayo kama yakifuatwa na kompyuta yanaweza yakapata jibu la tatizo [2], hivyo ni njia ya kutatua kwa hatua chache magumu katika hisabati. Njia hiyo inaweza kufanya hesabu na usindikaji wa data.
Jina linatokana na mwanahisabati wa Uajemi al-Khwarizmi aliyetoa maelekezo ya kwanza ya namna hiyo katika karne ya 9 BK.
![]() |
Makala hii kuhusu mambo ya sayansi bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Algorithm kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
- ↑ "Definition of ALGORITHM". www.merriam-webster.com (kwa Kiingereza). 2023-12-21. Iliwekwa mnamo 2024-01-04.
- ↑ https://dictionary.cambridge.org/dictionary/english/algorithm