Nenda kwa yaliyomo

TypeScript

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Pitio kulingana na tarehe 11:46, 6 Machi 2020 na UmojaWetu (majadiliano | michango) (Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika '{{Infobox record label <!-- See Wikipedia:WikiProject_Music -->|Lugha|Ukao|jina=TypeScript|picha=TypeScript Logo|200px|image_bg=|sh...')
(tofauti) ← Pitio lililotangulia | Toleo la sasa (tofauti) | Pitio linalofuata → (tofauti)
TypeScript
TypeScript Logo
Shina la studio namna : namna nyingi inaozingatiwa kuhusu kipengee
Imeanzishwa Februari 12 2012 (2012-02-12) (umri 13)
Mwanzilishi Anders Hejlsberg
Ilivyo sasa Ilivutwa na: C#, Java, JavaScript

Ilivuta: AtScript, AssemblyScript

Mahala Microsoft
Tovuti https://www.typescriptlang.org

TypeScript ni lugha ya programu. Iliundwa na Anders Hejlsberg na ilianzishwa tarehe 12 Februari 2012. Iliundwa ili kuumba programu. Leo tunatumia TypeScript 3.8.2. Ilivutwa na Javascript.

Inaitwa TypeScript kwa sababu ni mageuzi ya Javascript, lugha ya programu nyingine.

Historia

Ilianzishwa 12 Februari 2012 nchini Marekani. Lakini Anders Hejlsberg alianza kufanya kazi kuhusu TypeScript mwaka wa 2010.

Falsafa

Namna ya TypeScript ni namna nyingi na inaozingatiwa kuhusu kipengee.

Sintaksia

Sintaksia ya C# ni rahisi sana kinyume cha lugha za programu nyingine kama C++, COBOL au C sharp. Ilivutwa na sintaksia ya Java, lugha ya programu nyingine.

Mifano ya C#

Programu kwa kuchapa « Jambo dunia !».

var ujumbe:string = "Jambo Dunia !" ;
console.log(ujumbe);

Programu kwa kupata factoria ya namba moja.

module FactorialModule {
	export class FactorialClass {
		fact: number = 1;
		factorial(n: number) {
			while (n > 0) {
				this.fact = this.fact * n;
				n = n - 1;
			}
			return this.fact;
		}
	}
}

Marejeo

  • Bierman, G., Abadi, M., & Torgersen, M. (2014, July). Understanding typescript. In European Conference on Object-Oriented Programming (pp. 257-281). Springer, Berlin, Heidelberg.
  • Richards, G., Zappa Nardelli, F., & Vitek, J. (2015). Concrete types for TypeScript. In 29th European Conference on Object-Oriented Programming (ECOOP 2015). Schloss Dagstuhl-Leibniz-Zentrum fuer Informatik.