PHP
PHP | |
---|---|
![]() | |
Shina la studio | namna : namna ya utaratibu
inaozingatiwa kuhusu kipengee namna nyingi |
Imeanzishwa | Januari 1 1994 |
Mwanzilishi | Rasmus Lerdorf |
Ilivyo sasa | Ilivutwa na: Perl, C, C++, Java, Tcl, JavaScript, Hack
Ilivuta: Hack |
Mahala | The PHP Development Team, Zend Technologies |
Tovuti | https://www.php.net |
PHP ni lugha ya programu. Iliundwa na Rasmus Lerdorf na ilianzishwa tarehe 1 Januari 1994. Iliundwa ili kuumba tovuti kama Facebook au Wikipedia. Leo tunatumia PHP 8.0.0. Ilivutwa na C.
Inaitwa PHP kwa sababu ni kifupi cha maneno "Hypertext Preprocessor"
Historia
Ilianzishwa 1 Januari 1994 nchini Marekani. Lakini Rasmus Lerdorf alianza kufanya kazi kuhusu PHP mwaka wa 1993.
Falsafa
Namna ya PHP ni namna ya utaratibu, namna nyingi na inaozingatiwa kuhusu kipengee.
Sintaksia
Sintaksia ya PHP ni ngumu sana kinyume cha lugha za programu nyingine kama JavaScript, Python au Ruby. Ilivutwa na sintaksia ya C++, lugha ya programu nyingine.
Mifano ya PHP
Programu kwa kuchapa « Jambo dunia !».
<!DOCTYPE html>
<html>
<head>
<title>PHP programu "Jambo dunia !"</title>
</head>
<body>
<?php echo '<p>Jambo dunia !</p>'; ?>
</body>
</html>
Programu kwa kupata factoria ya namba moja.
<html>
<head>
<title>Programu kwa kupata factoria</title>
</head>
<body>
<form method="post">
Ingia namba:<br>
<input type="number" name="number" id="number">
<input type="submit" name="submit" value="Submit" />
</form>
<?php
if($_POST){
$fact = 1;
//getting value from input text box 'number'
$number = $_POST['number'];
echo "Factoria ya $number:<br><br>";
//start loop
for ($i = 1; $i <= $number; $i++){
$fact = $fact * $i;
}
echo $fact . "<br>";
}
?>
</body>
</html>
Marejeo
- Luke Welling, Laura Thomson, PHP and MySQL Web development, Sams Publishing, 2008, 4e éd. (ISBN 0-672-32916-6, OCLC 854795897)
- Damien Seguy, Philippe Gamache, Sécurité PHP 5 et MySQL, 3e édition, Eyrolles, 1er décembre 2011, 277 p. (ISBN 2-212-13339-1)
- Jean Engels PHP 5 Cours et Exercices, 3e édition, Eyrolles 2013, 631 pages (ISBN 978-2-212-13725-5)