Java (lugha ya programu)
Java | |
---|---|
![]() | |
Shina la studio | namna : inaozingatiwa kuhusu kipengee
namna nyingi |
Imeanzishwa | Mei 23 1995 |
Mwanzilishi | James Gosling |
Ilivyo sasa | Ilivutwa na: Ada 83, C++, C#, Eiffel, Mesa, Modula-3, Oberon, Objective-C, UCSD Pascal, Object Pascal
Ilivuta: Ada 2005, BeanShell, C#, Chapel, Clojure, ECMAScript, Fantom, Gambas, Groovy, Hack, Haxe, J#, Kotlin, PHP, Python, Scala, Seed7, Vala |
Mahala | Sun Microsystems |
Tovuti | https://www.oracle.com/java/ |
Java ni lugha ya programu. Iliundwa na James Gosling na ilianzishwa tarehe 23 mai 1995 . Iliundwa ili kuumba programu kwa Android. Leo tunatumia Java SE 13. Ilivutwa na C++.
Historia
Ilianzishwa mwaka wa 1995 nchini Marekani. James Gosling, Mike Sheridan, na Patrick Naughton walianza kufanya kazi kuhusu Java mwaka wa 1991. Mwaka wa 1996 Sun Microsystems ilichapa Java 1.0.
Falsafa
Namna ya Java ni ile inaozingatiwa kuhusu kipengee na namna nyingi.
Sintaksia
Sintaksia ya Java ni ngumu sana; inafananishwa na lugha za programu nyingine kama JavaScript, Python au Ruby. Ilivutwa na sintaksia ya C++, lugha ya programu nyingine.
Mifano ya Java
Programu kwa kuchapa « Jambo dunia !».
public class JamboDunia {
public static void main(String[] args) {
System.out.println("Jambo dunia!");
}
}
Programu kwa kutafuta thamani katika jedwali.
class Mfano2
{ static void main(String[ ] args)
{
int [ ] table= {12,-5,7,8,-6,6,4,78,2};
byte elt = 4;
short i ;
for ( i = 0 ; i<8 ; i++ )
if (elt= =table[i]) break ;
afficher(i,elt);
}
static void afficher (int rang , long val)
{ if (rang == 8)
System.out.println("thamani : "+val+" haitafutwi.");
else
System.out.println("thamani : "+val+" thamani anatafutwa in rank :"+ rang);
}
}
Marejeo
- Binstock, Andrew (May 20, 2015). "Java's 20 Years of Innovation". Forbes. Archived from the original on March 14, 2016. Retrieved March 18, 2016.
- Chaudhary, Harry H. (July 28, 2014). "Cracking The Java Programming Interview :: 2000+ Java Interview Que/Ans". Retrieved May 29, 2016.
- Java 5.0 added several new language features (the enhanced for loop, autoboxing, varargs and annotations), after they were introduced in the similar (and competing) C# language. [1] Archived March 19, 2011, at the Wayback Machine [2] Archived January 7, 2006, at the Wayback Machine
- Gosling, James; McGilton, Henry (May 1996). "The Java Language Environment". Archived from the original on May 6, 2014. Retrieved May 6, 2014.