Visual Basic
Mandhari
Visual Basic | |
---|---|
![]() | |
Shina la studio | namna : inaozingatiwa kuhusu kipengee |
Imeanzishwa | Januari 1 1991 |
Mwanzilishi | Microsoft |
Ilivyo sasa | Ilivutwa na: Basic
Ilivuta: Visual Basic .NET, Gambas, Xojo, Basic4ppc and NS Basic |
Mahala | Microsoft Windows |
Tovuti | https://www.microsoft.com |
Visual Basic au VB ni lugha ya programu. Iliundwa na Microsoft na ilianzishwa mwaka wa 1991. Iliundwa ili kuumba programu juu ya Windows Microsoft. Leo tunatumia Visual Basic 6.0. Ilivutwa na Basic.
Historia
Ilianzishwa mwaka wa 1991 nchini Marekani. Alan Cooper alikuwa mtu aliyeshirikia umbo wa Visual Basic.
Falsafa
Namna ya Visual Basic ni inaozingatiwa kuhusu kipengee.
Sintaksia
Sintaksia ya Visual Basic ni ngumu sana inafananishwa lugha za programu nyingine kama JavaScript, Python au Ruby. Ilivutwa na sintaksia ya Basic, lugha ya programu nyingine.
Mifano ya Ruby
Programu kwa kuchapa « Jambo, dunia !».
Private Sub Form_Load()
' Inachapa sanduku ya ujumbe ambao inasema "Jambo, Dunia!"
MsgBox "Jambo, Dunia!"
End Sub
Programu kwa kuchapa counter.
Option Explicit
Dim Count As Integer
Private Sub Form_Load()
Count = 0
Timer1.Interval = 1000
End Sub
Private Sub Timer1_Timer()
Count = Count + 1
Label1.Caption = Count
End Sub
Marejeo
- Root, Randal; Romero Sweeney, Mary (2006). A tester's guide to .NET programming. Apress. p. 3. ISBN 978-1-59059-600-5. "You can choose a language based on how easy it is to learn. For beginners, Visual Basic is a good choice. [~snip] A big advantage of Visual Basic is that it is a popular language since it is easy to learn."
- Microsoft Visual Basic Programmer's Guide Version 3.0 - Microsoft Corporation 1993 Denning, Adam (2015-06-22).
- "Getting ready for Windows 10 – SDKs, compatibility, bridges". Building Apps for Windows blog. Retrieved 2015-08-02.